Vijana nchini wametakiwa kumuenzi Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka vijana nchini kumuenzi Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume kwa kuiga na kutekeleza kwa vitendo…
Read More