Matarajio ya Zanzibar ni kuona ushirikiano kati yake na nchi hiyo Japani unaimarika zaidi .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amekutaka na Balozi mpya wa Japan nchini Mheshimiwa Masaharu Yoshinda na kumueleza kuwa matarajio ya Zanzibar ni…
Read More