DK.SHEIN AMEKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA SEYCHELLES

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Seychelles Mheshimiwa Danny Faure katika ukumbi wa Hoteli ya Intercontinental…

Read More

MKUTANO WA BARAZA LA BIASHARA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein amesema kuwa kuanzishwa kwa Sheria namba 10 ya mwaka 2017 ya Baraza la Taifa la Biashara la Zanzibar (ZNBC) kutaimarisha…

Read More

DK.SHEIN AMEKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amezipongeza juhudi zinazoendelea kuchukuliwa na Idara za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ya Jamhuri ya Muungano…

Read More

DK.SHEIN AMEZUNGUMZA NA MAKAMU MWENYEKITI WA BUNGE LA JAMUHURI YA WATU WA CHINA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China kwa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha miradi ya…

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi  wa kliniki ya Meno ambayo katika Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja,kliniki hiyo inaendeshwa kwa usimamizi

UZINDUZI WA KLINIKI YA MENO KIVUNGE KASKAZI UNGUJA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ametangaza rasmi kuwa Hospitali ya Kivunge na Hospitali ya Makunduchi ambazo zote ni Hospitali za Koteji zifutwe na…

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Juma Abdalla Sadala alipowasili katika  ufungaji wa kampeni za CCM za Uwakilishi jimbo la

UFUNGAJI WA KAMPENI ZA CCM ZA UWAKILISHI JIMBO LA JANG’OMBE

MAKAMO Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa kinachotakiwa siku ya Oktoba 27, 2018 katika uchaguzi mdogo wa Jimbo…

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na ujumbe wa Mratibu wa Umoja wa Mataifa (UN) hapa Zanzibar Bibi.Dorothy Temu-Usiri  walipofika Ikulu Mjini Zanzibar.

DK.SHEIN AMEKUTANA NA MRATIBU WA UN ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amepongeza juhudi zinazochukuliwa na Umoja wa Mataifa (UN) katika kuendeleza miradi mbali mbali ya maendeleo na kueleza…

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Mtawala wa Ras Al Khaimah Shaikh Saud bin Saqr  Al  Qasimi wakati   alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kabla ya kuondoka nchi akimaliza ziara yake akiwa na uj

MTAWALA WA RAS AL KHAIMAH AMEZUNGUMZA NA DK.SHEIN.

MTAWALA wa Ras al Khaimah Shaikh Saud Bin Saqr Al Qasimi amemuhakikishia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein kuwa serikali yake itatoa ushirikiano katika…

Read More