Uteuzi

Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu cha 13(1) cha Sheria ya Baraza la Vijana Namba 16 ya 2013, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein…

Read More

Kuimarisha mshikamano na kurejesha ari ya kujitolea miongoni mwa wanachama ndio nguzo ya mafanikio

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amepongeza mshikamano na moyo wa kujitolea miongoni mwa wanachama na wapenzi wa Chama cha Mapinduzi ambao umewezesha…

Read More

Dk.Shein akabidhi vifaa vya michezo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amekabidhi vifaa vya michezo kwa timu za Jimbo la Uzini vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo hilo Mhe. Mohammed Raza…

Read More

kukosekana kwa mawakala wenye sifa ni sababu zinazowakosesha vijana kucheza katika ngazi ya Kimatai

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema pamoja na Zanzibar kuwa na vijana wengi wenye vipaji katika mchezo wa soka lakini kukosekana kwa mawakala wenye…

Read More

Dk.Shein atembelea na kuangalia maendeleo ya ujenzi wa jengo jipya la abiria uwanja wa ndege.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amefanya ziara ya kutembelea na kuangalia maendeleo ya ujenzi wa jengo jipya la abiria katika uwanja wa ndege wa…

Read More

Vijana nchini wametakiwa kumuenzi Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka vijana nchini kumuenzi Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume kwa kuiga na kutekeleza kwa vitendo…

Read More

Dk Shein ameongoza hitma ya kumuombea dua Rais wa Kwanza wa Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein leo ameongoza hitma ya kumuombea dua Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu mzee Abeid Amani Karume, iliyofanyika…

Read More

Dk. Ali Mohamed Shein ametembelea eneo la Mpigaduri

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametembelea eneo la Mpigaduri linalotarajiwa kujengwa bandari mpya pamoja na eneo la Kinazini linalotarajiwa kujengwa…

Read More