Lugha ya Kiswahili ni kiunganishi kizuri kukuza ushirikiano na uhusiano kati ya Rwanda na Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa lugha ya Kiswahili itakuwa ni kiunganishi kizuri katika kukuza ushirikiano na uhusiano kati ya Rwanda…
Read More