UTEUZI.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi katika Taasisi mbalimbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:-
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amerejea nchini leo akitokea Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ambapo alifanya ziara nchini Ras Al Khaimah pamoja…
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameshiriki katika utiaji saini Mkataba wa Makubaliano kati ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Umoja wa Nchi za…
Read MoreSERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kupitia Mfuko wa Maendeleo wa Abudhabi zimetiliana saini Mkataba wa Makubaliano (MOU) juu ya ujenzi na matengenezo…
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar iko tayari kushirikiana na Serikali ya Ras Al Khaimah katika kuanzisha…
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametembelea kiwanda cha Kampuni ya Kimataifa ya Utafiti na Uchimbaji wa Mafuta na Gesi Asilia ya Ras Al Khaimah“RAK…
Read MoreVIONGOZI wa Kampuniza Uwekezaji, Jumuiya ya Wafanyabiashara na Wenye Viwanda pamoja na Mamlaka za Vitega Uchumi za Ras Al Khaimah wameeleza azma yao ya kushirikiana na kuiunga Zanzibar ili izidi…
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amekutana na Mtawala wa Ras-Al-Khaimah Mtukufu Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi na kufanya nae mazungumzo yaliolenga…
Read More