Dkt. Mwinyi amesema CCM ina kila sababu ya kushinda Uchaguzi

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Chama…

Read More

Mageuzi ya Uchumi na Fedha yamejenga Zanzibar Shirikishi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa mageuzi ya uchumi na fedha yaliyotekelezwa na Serikali yamekuwa msingi muhimu wa kuijenga…

Read More

Suala la kudumisha amani ni jukumu la kila Mwananchi anayependa maendeleo ya nchi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa suala la kudumisha amani ni jukumu la kila Mwananchi anayependa maendeleo.Alhaj Dkt. Mwinyi ameyasema…

Read More

Dkt. Mwinyi ameahidi Uwezeshaji na Ushirikishwaji zaidi kwa Watu wenye Ulemavu katika Serikali Ijayo.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Serikali…

Read More

Dkt.Mwinyi, ameahidi kuunda Tume Maalum itakayofanya tathmini ya kina kuhusu fidia walizolipwa wananchi waliopisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika maeneo ya Fumba, Nyamanzi,Dimani na Bweleo.

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuunda Tume Maalum…

Read More

SMZ kujenga Hospitali mbili kubwa za Rufaa Zanzibar

SMZ kujenga Hospitali mbili kubwa za Rufaa Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inakusudia…

Read More