UTEUZI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa wenyeviti wa Bodi katika Taasisi mbalimbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:-
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amesema kuwa mafanikio ya utekelezaji haki za binaadamu na utawala bora Zanzibar yanatokana na utekelezaji wa azma…
Read MoreSERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar inakusudia kuregeza masharti iliyoyaweka hapo awali katika mambo kumi ya kuyadhibiti maradhi yanayosababishwa na maambukizi ya virusi vya Corona hatua kwa hatua.Rais…
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka Maafisa Wadhamini kisiwani Pemba kufanya kazi ya kukabiliana na maafa kwenye maeneo ambayo wananchi wameathirika…
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka viongozi wa Mikoa ya Pemba kuwatoa hofu wananchi juu ya maradhi yanayosababishwa na virusi vya KORONA na…
Read MoreDk. Ali Mohamed Shein amewataka viongozi wa Mikoa ya Pemba kuwatoa hofu wananchi juu ya maradhi yanayosababishwa na virusi vya KORONA
Read More