Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimsikiliza  Mwakilishi wa Shirika la UNESCO Tanzania Bw.Tirso  Dos Santos wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha .

DK.SHEIN AMEKUTANA NA MWAKILISHI WA UNESCO.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza umuhimu wa kukuza uhusiano na ushirikiano uliopo kati ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Shirika la Umoja…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiangalia Meli Mpya ya Mafuta ya MT.UKOMBO II,Ikiwasili kuelekea katika bandari ya Malindi Zanzibar ikitokea Shanghai Nchini China, iliyotengenezwa na Kampuni ya Damen Ship

KUWASILI KWA MV MKOMBOZI II

HATIMAE ahadi ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein aliyowaahidi wananachi wa Zanzibar kuwa Serikali anayoiongoza itanunua meli mpya ya mafuta MT MKOMBOZI…

Read More

Dk.Shein amefanya Uteuzi

AIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amefanya uteuzi wa viongozi katika taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.Walioteuliwa ni Ali…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiponyeza kitufe kuashiria kuyafungua Maonesho ya Kilimo Zanzibar katika viwanja vya Kizimbani Wilaya Magharibi

DK. SHEIN AMEFUNGUA MAONESHO YA KILIMO KIZIMBANI ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Saba ina dhamiria kuendeleza sekta ya kilimo kwa gharama yoyote…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, alipowasili Uwanja wa Kimataifa waAbeid Amani Karume Zanzibar akitokea Nchini Uingereza kwa ziar

DK.SHEIN AMEWASILI ZANZIBAR AKITOKEA NCHINI UINGEREZA KWA ZIARA MAALUM.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amerejea nchini leo akitokea Uingereza.

Read More

SALAMU ZA PONGEZI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amemtumia salam za pongezi Rais wa Jamuhuri ya Misri Abd El Fattah Saeed Hussein Khalil El Sisi, kwa kuadhimisha miaka…

Read More

SALAMU ZA RAMBIRAMBI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amemtumia salamu za rambirambi Mwenyekiti wa Makampuni ya S.S. Bakhresa, Sheikh Said Salim Bakhressa kufuatia vifo…

Read More
Balozi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Mhe.Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk, kulia akiwasilisha Salamu za rambirambi kwa Niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Mhe.Dkt. Ali Mohamed S

MTAWALA WA SHARJAH AMEPOKEA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA KWA RAIS WA ZANZIBAR.

MTAWALA wa Sharjah Sheikh Sultan Bin Mohammad Al Qasimi amepokea salamu za rambirambi kutoka kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein alizozituma kwa Mtawala…

Read More