Rais azungumza na Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais

OFISI ya Makamu wa Kwanza wa Rais imemuahidi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein kuwa itashirikiana nae katika kusimamia majukumu yake kwa uadilifu na…

Read More

Wananchi waanza kufuga mazao ya baharini kwenye maeneo yao wanayoishi

Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeeleza kuwa sekta ya uvuvi hivi sasa imezidi kuimarika baada ya wananchi wengi kushajiika na kuanza kufuga mazao ya baharini kwenye maeneo yao wanayoishi.Aidha, Wizara…

Read More

Waekezaji wa Ireland wametakiwa kuja kuekeza Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amefanya mazungumzo na Balozi wa Ireland nchini Tanzania Bi Fionnuala Gilsenan na kumueleza hatua zinazochukuliwa na…

Read More

WIZARA ya Ustawi wa Jamii M/V/W/Watoto inaifanyia kazi sera ya Taifa ya Hifadhi ya Jamii

WIZARA ya Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Vijana, Wanawake na Watoto imeeleza kuwa inaifanyia kazi Sera ya Taifa ya Hifadhi ya Jamii ili kutekeleza lengo la kuwapatia huduma wananchi wote wanaostahili…

Read More

Uongozi wa Wizara ya Kazi, Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika imekutana na Rais wa Zanzibar

WIZARA ya Kazi, Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika imepongeza juhudi za maendeleo zinazochukuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinudizi Dk. Ali Mohamed Shein huku ikieleza…

Read More

Wizara ya Habari,Utamaduni,Utalii na Michezo imejipanga vizuri kuingia kwenye mfumo wa Dijital

WIZARA ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo imeeleza kuwa itahakikisha inaingia katika mfumo wa utangazaji wa Dijitali kwani maendeleo katika ujenzi wa miundombinu yake yanatia moyo na vifaa…

Read More

“SUZA” kuhamia katika kampasi yake ya Tunguu kumesaidia kujipanga na kuweka mazingira mazuri ya kazi

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Amali imeeleza kuwa kuhamia kwa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) katika kampasi ya Tunguu kumesaidia sana katika kukiwezesha chuo hicho kujipanua na kuwa…

Read More

Dk.Shein akutana na Uongozi wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko

WIZARA ya Biashara, Viwanda na Masoko imeeleza kuwa kulingana na taarifa za mwenendo wa hali ya chakula ambazo hukusanywa na Wizara hiyo kila mwezi hali ya chakula imeendelea kuwa nzuri hapa…

Read More