Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Shein akiufunga Mkutano Mkuu wa Umoja wa Wazazi wa Tanzania

Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein ameutaka Umoja wa Wazazi Tanzania kujipanga vyema baada ya kupata safu nzuri ya uongozi kuhakikisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaendelea…

Read More

Dk.Shein amemtumia salamu za rambi rambi Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amemtumia salamu za rambi rambi Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk. Hussein Ali Mwinyi kufuatia vifo vya…

Read More

CCM ni chama cha kiungwana, kistaarabu na kinachoheshimu demokrasia na kufuata taratibu hivyo

Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa CCM ni chama cha kiungwana, kistaarabu na kinachoheshimu demokrasia na kufuata taratibu hivyo, ameitaka Jumuiya ya UVCCM kwa…

Read More

Dk.Shein amewaapisha Wakuu wa Mikoa wapya pamoja na Naibu Katibu Mkuu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amewaapisha Wakuu wa Mikoa wapya pamoja na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana,…

Read More

Dk.Shein amefanya Uteuzi na kuwabadilisha baadhi ya viongozi katika Taasisi mbali mbali za SMZ

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi na kuwabadilisha nafasi baadhi ya viongozi katika Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi…

Read More

Wananchi wa kijiji cha Michamvi kupatiwa maji safi na salama katika kipindi kifupi kijacho

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amewahakikishia wananchi wa kijiji cha Michamvi, kilichopo Mkoa wa Kusini Unguja kuwa Serikali ya Mapinduzi…

Read More

Dk.Shein aliwaongoza Waumini wa dini ya Kiislamu katika Maulidi ya Mtume Muhammad (SAW)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein aliwaongoza Waumini wa dini ya Kiislamu pamoja na wananchi mbali mbali katika Maulidi ya kuadhimisha Kuzaliwa…

Read More

Rais wa Jamhuri ya Kenya Uhuru Muigai Kenyatta ametumiwa salamu za pongezi na Dk.Shein

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amemtumia salamu za pongezi Rais wa Jamhuri ya Kenya Uhuru Muigai Kenyatta kwa kuapishwa kuwa Rais na kuendelea…

Read More