Mkuu wa Chuo Kikuu cha Teknolojia (VIT) cha nchini India amekutana na Dk.Shein Ikulu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein, amesema kuwa utekelezaji wa hati ya makubaliano (MoU) kati ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)…

Read More

Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) limepongezwa na Mheshimiwa Dk.Shein

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein, amelipongeza Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu Duniani (UNFPA), kwa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar…

Read More

Dk.Ali Mohamed Shein ameipongeza Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais kwa mafanikio iliyoyapata.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais kwa mafanikio iliyoyapata na kumpongeza Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif…

Read More

Dk.Shein ameipongeza Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ kwa kutekeleza…

Read More

Dk.Shein ameipongeza Ofisi ya Rais,Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza Ofisi ya Rais,Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora na kueleza azma ya Serikali ya…

Read More

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeweka vipaumbele kwa akina mama na watoto    

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein amesema kuwa uimarishaji wa afya za wananchi wakiwemo akina mama na watoto ni miongoni mwa vipaumbele vilivyowekwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Read More

Dk.Shein ametoa pongezi kwa Umoja wa Mataifa (UN) kwa kuendelea kushirikiana

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein ametoa pongezi kwa Umoja wa Mataifa (UN) kwa kuendelea kushirikiana na kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha…

Read More

Dk.Shein amemtumia salamu za pongezi Rais wa Jamhuri ya Uturuki Mhe. Recep Tayyip Erdogan

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amemtumia salamu za pongezi Rais wa Jamhuri ya Uturuki Mhe. Recep Tayyip Erdogan kwa kutimiza miaka 94 tokea…

Read More