DK. SHEIN AMEFUNGUA SKULI YA MAANDALIZI NA MSINGI FUONI PANGAWE WILAYA YA MAGHARIBI “B” UNGUJA.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amewataka walimu kote nchini kuwa wabunifu na kujiendeleza kitaaluma ili waweze kukidhi mahitaji ya kielimu na kwenda…
Read More