MWENYEKITI wa ZEC Mhe.Jecha Salim Jecha amemtangaza rasmi Mhe.Dk.Shein wa CCM kuwa Rais wa Zanzibar.

MWENYEKITI wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) Mhe. Jecha Salim Jecha amemtangaza rasmi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwamba amechaguliwa kihalali na wananchi wa Zanzibar…

Read More

Wananchi wahimizwa kujitokeze kwa wingi kutumia haki yao ya kikatiba ya kupiga Kura.

Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk. Ali Mohamed Shein amepiga kura na kusema matarajio yake ni kuona kila mwananchi mwenye haki ya kupiga kura ataitumia fursa hiyo…

Read More

Tanzania ikiwemo Zanzibar inajivunia uhusiano na ushirikiano uliopo na Kuwait

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisistiza haja ya kuimarishwa uhusiano na ushirikiano uliopo kati ya Tanzania na Kuwait hasa katika kushajihisha…

Read More

Kulinda Mapinduzi na Muungano ni jukumu lenu.

Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM)wametakiwa kujidhatiti zaidi kulinda na kuendeleza Mapinduzi ya mwaka 1964 na muungano uliozaa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wito huo umetolewa leo na Makamu…

Read More

Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amemuapisha Naibu Katibu Mkuu (Uwezeshaji),

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amemuapisha Ndugu Hassan Khatib Hassan kuwa Naibu Katibu Mkuu (Uwezeshaji), katika Wizara ya Uwezeshaji Ustawi…

Read More

Watumiaji wa mitandao ya kijamii na wale wenye zamana wawe makini kulinda hali ya amani ya nchi.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka watumiaji wote wa mitandao ya kijamii na wale wenye dhamana ya kusimamia na kufanya tahariri wawe makini…

Read More

Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar katika viwanja vya Victoria Garden Mjini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka watumiaji wote wa mitandao ya kijamii na wale wenye dhamana ya kusimamia na kufanya tahariri wawe makini…

Read More

Rais wa Zanzibar na MBLM Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa Viongozi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa Viongozi mbali mbali katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:-

Read More