News and Events

Jaji Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania akimuapisha Dk.Shein kuwa mjumbe wa Baraza la mawaziri

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akiapishwa na jaji Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Mohammed Chande Othman kuwa mjumbe wa Baraza la Mawaziri la Jamuhuri…

Read More

Viongozi walioteuliwa na Dk. Shein waapishwa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amewapisha viongozi mbali mbali kushika nyadhifa katika taasisi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Walioapishwa…

Read More

Dk.Shein ameteua viongozi katika Taasisi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi katika Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:-…

Read More

Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema Peponi Marehemu Abdalla Mohamed Mshindo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpinduzipia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akijumuika na Viongizi na Waislamu katika kumswalia aliyekuwa Mwenyekiti wa…

Read More