News and Events

Dkt.Shein amteua Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.

Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu cha 55(1) cha Katiba ya Zanzibar ya 1984, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein amemteua tena MHE. SAID…

Read More

MWENYEKITI wa ZEC Mhe.Jecha Salim Jecha amemtangaza rasmi Mhe.Dk.Shein wa CCM kuwa Rais wa Zanzibar.

MWENYEKITI wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) Mhe. Jecha Salim Jecha amemtangaza rasmi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwamba amechaguliwa kihalali na wananchi wa Zanzibar…

Read More

Tanzania ikiwemo Zanzibar inajivunia uhusiano na ushirikiano uliopo na Kuwait

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisistiza haja ya kuimarishwa uhusiano na ushirikiano uliopo kati ya Tanzania na Kuwait hasa katika kushajihisha…

Read More