News and Events

Mahafali ya nane Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA)

RAIS wa Zanzibar na Mwenekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametoa wito kwa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA),kuendelea kutoa mafunzo mbali mbali kwa kuzingatia mahitaji…

Read More

Dk.Shein akutana na Uongozi wa Ofisi yake

OFISI ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi imeeleza kuwa miongozo na maelekezo inayoyapata kutoka kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein imekuwa…

Read More

Dk.Shein akutana na Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais

OFISI ya Makamu wa Pili wa Rais imeeleza kuwa Dira yake kubwa ni kuwa na Serikali yenye kutoa huduma bora kwa jamii na yenye muhimili mzuri wa uchumi, umoja na maendeleo endelevu

Read More

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein azindua sensa ya miti

WIZARA ya Kilimo na Maliasili na Wizara ya Mawasiliano na Miundombinu,Baraza la Mainispaa Zanzibar, Mabaraza ya miji Pemba na Hamlashauri zote za Wilaya zimetakiwa kushirikiana katika kuimarisha…

Read More