News and Events

Mafanikio makubwa yameweza kupatikana kutokana na uongozi thabiti wa benki ya (PBZ)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesifu hatua zilizochukuliwa katika kuiimarisha Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) ikiwa ni pamoja na utoaji mikopo kwa…

Read More

Wananchi waimarishe amani na utulivu nchini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein ameonya kuwa Serikali haitawavumilia wale wote wanaofanya vitendo vya uvunjifu wa amani nchini na kuahidi kuwa…

Read More