RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akifuatana na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Brig Generali Bishoge mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nchini humo akiwa na Ujumbe wake akielekea Nchini Djibout kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu,(katikati ) Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Brig Generali Bishoge mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nchini humo akiwa na Ujumbe wake akielekea Nchini Djibout kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu,(katikati ) Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ. Mhe. Haji Omar Kheri, akizungumza wakati wa hafla hiyo ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Kituo cha Afya Kianga Wilaya ya Magharibi A Unguja, kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kuzungumza na Wananchi akiwa katika ziara yake. Wilaya ya Magharibi A Unguja