Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Kale na Utalii wa Oman, Mhe. Sheikh Salim bin Mohammed Al Mahrouqi, aliyefuatana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Kale na Utalii wa Oman, Mhe. Sheikh Salim bin Mohammed Al Mahrouqi, aliyefuatana na Balozi Mdogo wa Oman anayefanya shughuli zake Zanzibar, Mhe. Said Salim Al Sinawi, pamoja na ujumbe kutoka Wizara hiyo ya Oman Ikulu Zanzibar.