Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj dk.Ali Mohamed Shein, (wa tatu kushoto) alipojumuika na Waislamu mbali mbali katika kumswalia Marehemu Mzee Taimur Saleh Juma katika Msikiti wa Ijumaa Mchangani Mjini,Marehemu aliwahi kushika nyazifa mbali mbali katika Serikalia ya Mapinduzi Zanzibar.