Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiwa na Viongozi  mbali mbali katika hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika katika  Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi  Mnazi Mmoja Mjini Unguja akiwepo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi