RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi mbalimbali wakishangilia Timu ya Mlandege baada ya kumalizika kwa mchezo wa Fainali,kati ya Timu ya Mlandege na Singida Big Stars, uliofanyika jana usiku 13-1-2023, katika Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja.Timu ya Mlandege imeshinda mchezo huo kwa bao 2-1