Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt .Hussein Ali Mwinyi akishuhudia utiaji wa Saini wa Mikataba inahusisha ujenzi wa miradi mitatu mikubwa ya kimkakati ambayo ni Ujenzi wa Taasis
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt .Hussein Ali Mwinyi akishuhudia utiaji wa Saini wa Mikataba inahusisha ujenzi wa miradi mitatu mikubwa ya kimkakati ambayo ni Ujenzi wa Taasisi ya Saratani Binguni, Mradi wa Usambazaji Maji Mkoa wa Kusini Unguja, na Mradi wa Mfumo Jumuishi wa Usimamizi na Usajili wa Huduma za Ardhi Zanzibar (LARIS).