Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu ndugu Saleh Juma Mussa Vitabu vya Sera ya Nishati ya Zanzibar ya 2025
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu ndugu Saleh Juma Mussa Vitabu vya Sera ya Nishati ya Zanzibar ya 2025 pamoja na Mpango Mkuu wa Umeme wa Zanzibar wa 2025–2040, katika hafla iliyofanyika Hoteli ya Golden Tulip, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja leo tarehe 11 Septemba 2025.