Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwasili katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Walimu Duniani, yaliyofanyika katika Viwanja vya Polisi Zi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwasili katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Walimu Duniani, yaliyofanyika katika Viwanja vya Polisi Ziwani, Mkoa wa Mjini Magharibi, leo tarehe 05 Octoba,2025