News and Events

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na uongozi wa Kampuni ya ‘International Holding Company (IHC).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na uongozi wa Kampuni ya ‘International Holding Company (IHC) yenye makao yake Abudhabi.Kampuni hiyo ni kubwa katika Umoja… Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameshuhudia utiaji saini wa miradi mikubwa ya uwekezaji baina ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Kampuni ya ‘Eagle Hills Regional Properties’

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameshuhudia utiaji saini wa miradi mikubwa ya uwekezaji baina ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Kampuni ya ‘Eagle Hills Regional… Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameondoka nchini kuelekea Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (U.A.E)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameondoka nchini leo kuelekea Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (U.A.E) kwa ziara ya siku tatu.Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa… Read More

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa msamaha kwa wanafunzi ishirini na tisa (29).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa msamaha kwa wanafunzi ishirini na tisa (29) ambao walikuwa wakiendelea kutumikia Vyuo vya Mafunzo vya Unguja na Pemba ikiwa ni… Read More