Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa pongezi kwa Watendaji wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar pamoja na Wadau wote wa Uchaguzi kwa kufanikisha vyema Uchaguzi Mkuu uliopita wa Oktoba 28, mwaka 2020.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa pongezi kwa Watendaji wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar pamoja na Wadau wote wa Uchaguzi kwa kufanikisha vyema Uchaguzi…
Read More