RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi  akimpa pole mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika Wodi ya Wagonjwa wa ajali katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar.

DK. MWINYI AMEFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KATIKA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa muda wa miezi mitatu kwa uongozi wa Wizara ya Afya kurekebisha kasoro za kiutendaji zinazosababisha kutokuwepo…

Read More

DK. MWINYI AMEUPONGEZA UTAYARI WA RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

RAIS wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali hassan Mwinyi ameupongeza utayari wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli wa kuahidi kuwa…

Read More

Dk.Magufuli amemuahidi Rais wa Zanzibar Dk.Mwiyi kufanya kazi kwa ushirikiano mkubwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amemuahidi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwiyi kwamba miaka mitano ijayo Serikali ya Jamhuri…

Read More

DK. MWINYI AMEWASILI DODOMA KUHUDHURIA UZINDUZI WA BUNGE LA TANZANIA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasili Jijini Dodoma leo kwa ajili ya kuhudhuria uzinduzi wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Katika…

Read More

UZINDUZI WA BARAZA LA KUMI LA WAWAKILISHI LA ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameahidi kuijenga Zanzibar mpya kwa kupitia uchumi wa kisasa wa Buluu (Blue Economy).

Read More

Dk.Hussein Ali Mwinyi ametoa shukurani na pongezi kwa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ametoa shukurani na pongezi kwa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), kwa kufanikisha vyema Uchaguzi Mkuu uliopita wa…

Read More

Dk.Hussein Mwinyi amemuapisha Mhe:Hemed Suleiman Abdulla kuwa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla kuwa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Hafla hiyo ya kiapo…

Read More