Media

Rais wa Zanzibar na MBLM Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa hutuba yake wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mkuu wa madaktari wa Upasuaji Tanzania (TSA) katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat -Al-Bahar Mbweni

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (mbele wa tatu kushoto) akitoa hutuba yake wakati wa ufunguzi rasmi wa Mkutano wa Mkuu wa madaktari wa Upasuaji Tanzania (TSA)alioufungua… Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa shukurani kwa viongozi wa dini kwa kushirikiana na Serikali ya Awamu ya Nane

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa shukurani kwa viongozi wa dini kwa kushirikiana na Serikali ya Awamu ya Nane katika kuhamasisha amani na utulivu hapa nchini.Dk.… Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza utayari wa uongozi wa Klabu ya Small Simba wa kutaka kurejesha hadhi ya michezo hapa Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza utayari wa uongozi wa Klabu ya Small Simba wa kutaka kurejesha hadhi ya michezo hapa Zanzibar.Rais Dk. Mwinyi ameyasema hayo… Read More