Media

Ni wajibu kwa Serikali kuwapelekea wananchi wake huduma bora za kijamii,kiuchumi na maendeleo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amezindua umeme katika kijiji cha Dongongwe,Mkoa wa Kusini Unguja na kusema kuwa Serikali kuwapelekea huduma bora za…

Read More

Zanzibar State House

Read More

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar itaendeleza jitihada zake za kukuza biashara katika sekta binapsi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar itaendeleza jitihada zake za kuimarisha mazingira ya biashara na kukuza…

Read More

Dk.Shein amelipongeza Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amelipongeza Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika juhudi zake za kuimarisha sekta…

Read More

Wabunge wa Bunge la Ireland wameahidi nchi yao kuendelea kuiunga mkono Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amefanya mazungumzo na Wabunge wa Bunge la Ireland na kuwaeleza mafanikio yaliyopatikana katika kuimarisha Serikali…

Read More

Dk.Shein amesisitiza ushirikiano na maelewano ndani ya vilabu.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza ushirikiano na maelewano ndani ya vilabu pamoja na taasisi zinazosimamia michezo nchini na kukipongeza…

Read More

Unicef imeipongeza Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kupiga vita udhalilishaji wa watoto.

Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Watoto ulimwenguni (UNICEF) limepongeza juhudi zinazochukuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kupiga vita udhalilishaji wa watoto pamoja…

Read More

DK.Shein amewaapisha Kaimu Jaji Mkuu na Naibu Katibu Mkuu Afya.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein leo amemuapisha Mhe. Mkusa Issack Sepetu, kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Mahakama Kuu ya Zanzibar.Wakati huo huo,Dk. Shein…

Read More