Dk.Shein hatokuwa tayari kuona Serikali anayoiongoza ikonyuma katika tasnia ya habari na mawasiliano

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa hatokuwa tayari kuona serikali anayoiongoza iko nyuma katika tasnia ya habari na mawasiliano.Dk. Shein…

Read More

Lengo la Serikali ya SMZ ni kuhakikisha kila mtoto aliyefikia umri wakusoma anapata nafasi ya kusoma

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa lengo la Serikali anayoiongoza ni kuhakikisha kuwa kila mtoto aliyefikia umri wa kusoma anapata nafasi…

Read More

Uimarishaji huduma za afya uendane na upatikanaji wa dawa ambazo zimetunzwa kwenye mazingira mazuri

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amezindua Bohari ya Dawa na kueleza kuwa uimarishaji wa huduma za afya lazima uendane na upatikanaji wa dawa ambazo…

Read More

Dhamira ya SMZ ni kuona kila mfanyakazi wa Serikali anaendeleza shabaha ya Mapinduzi ya Zanzibar.

DHAMIRA ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar awamu ya saba kama ilivyokuwa kwa awamu zilizotangulia ni kuona kila mfanyakazi anaendeleza shabaha ya Mapinduzi na kunufaika na matunda yake ikiwa…

Read More

Mahafali ya nane Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA)

RAIS wa Zanzibar na Mwenekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametoa wito kwa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA),kuendelea kutoa mafunzo mbali mbali kwa kuzingatia mahitaji…

Read More

Waekezaji wa Belgium wametakiwa kuja kuekeza Zanzibar hasa katika sekta ya utalii

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amefanya mazungumzo na Balozi wa Belgium nchini Tanzania Mhe. Adam Koenraad na kumueleza jinsi Serikali inavyoimarisha…

Read More

Kore yaahidi kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta ya kilimo cha mpunga wa kumwagilia maji

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amefanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Korea, Mhe.Chung IL, na kumueleza kuwa hatua ya nchi hiyo kuiunga…

Read More

Dk.Shein akutana na Uongozi wa Ofisi yake

OFISI ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi imeeleza kuwa miongozo na maelekezo inayoyapata kutoka kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein imekuwa…

Read More