Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi, amechangia shilingi milioni 10 kwaajili ya ujenzi wa maduka matano, yanayokusudiwa kutoa gharama za uendeshaji wa msikiti mkuu wa Paje, Mkoa wa Kusini, Unguja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi, amechangia shilingi milioni 10 kwaajili ya ujenzi wa maduka matano, yanayokusudiwa kutoa gharama za uendeshaji…

Read More

Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi, amechangia shilingi milioni 10 kwaajili ya ujenzi wa maduka matano, yanayokusudiwa kutoa gharama za uendeshaji wa msikiti mkuu wa Paje, Mkoa wa Kusini

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi, amechangia shilingi milioni 10 kwaajili ya ujenzi wa maduka matano, yanayokusudiwa kutoa gharama za uendeshaji…

Read More

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ikulu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ikulu, Zanzibar.Akipokea ripoti hiyo Rais…

Read More

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameishukuru Serikali ya Norway kwa jitihida zake za kuendelea kuiunga mkono Tanzania ikiwemo Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameishukuru Serikali ya Norway kwa jitihida zake za kuendelea kuiunga mkono Tanznia ikiwemo Zanzibar kwenye masuala…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza dhamira yake ya kuzihuisha mali zinazomilikiwa na chama cha Mapinduzi (CCM) kwa lengo la kukiendeleza chama hicho.

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza dhamira yake ya kuzihuisha mali zinazomilikiwa na chama cha…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameahidi kukijenga chama kiuchumi kwa kuimarisha miundombinu wezeshi ya utendaji kwa watendaji wake ili kuboresha ufanisi ndani ya chama hicho

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameahidi kukijenga chama kiuchumi kwa kuimarisha miundombinu wezeshi ya…

Read More