RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Norway Nchini Tanzania Mhe. Elizabeth Jacobsen, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Norway Nchini Tanzania Mhe. Elizabeth Jacobsen, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini Tanzania, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 11-5-2023