WAZIRI wa Katiba na Sheria Zanzibar Mhe. Khamis Juma Mwalim, akisoma Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara yake kuazia mwezi julai 2018 hadi March 2019, katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.

DK.SHEIN AMEZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesistiza haja kwa Wizara ya Katiba na Sheria kuandaa taratibu maalum za kuwaelimisha wananchi kuhusiana na sheria…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akijumuika na Wananchi na Wanamichezo katika maziko ya Marehemu Ali Ferej Tamim, aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mpira Zanzibar(ZFA) yaliofanyika katika makaburi ya Mwanakw

DK. SHEIN AMESHIRIKI KATIKA MAZISHI YA MAREHEMU ALI FEREJ TAMIM.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameongoza mazishi ya Marehemu Ali Ferej Tamim huko katika Makaburi ya Mwanakwerekwe mjini Unguja na kuungana na ndugu,…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akijumuika na Wananchi wa Kijiji cha Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba, katika futari aliyowaandalia katika viwanja vya Skuli ya Sekondari ya Mohammed Juma Pindua.

WANANCHI WA MKANYAGENI WAMEMPONGEZA DK. SHEIN

WANANCHI wa Mkanyageni wamempongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein kwa kuendeleza utamaduni wake wa kuwafutarisha wazee, ndugu na jamaa zake…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Waumini wa Kiislama katika Sala ya Magharibi iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Ndogo Micheweni Kisiwani Pemba kabla ya kuaza kwa hafla ya Futari Maalum aliyowaand

DK. SHEIN AMEFUTARISHA WANANCHI WA MKOA WA KASKAZINI PEMBA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein amefutari pamoja na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba na kuwataka kuendeleza ibada na kufanya mambo ya kumpwekesha…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar kushoto Sheikh Saleh Omar Kabi na Mkuu wa Wilaya ya Chakechake Rashid Hadid Rashid  katika Futari Maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mw

DK.SHEIN AMEWAFUTARISHA WANANCHI WA MKOA WA KUSINI PEMBA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein amefutari pamoja na wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba na kuwataka kuendeleza amani na utulivu uliopo nchini ili…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar, katika mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyo kwa mwezi wa Julai 2018 hadi March2019.

UCHUMI WA ZANZIBAR UMEIMARIKA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa uchumi wa Zanzibar umeendelea kuimarika sambamba na ukusanyaji mzuri wa mapato na matumizi yake.

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiongoza Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.

RAIS WA ZANZIBAR AMEZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA BIASHARA NA VIWANDA ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohammed Shein amesisitiza azma ya Serikali ya kuendelea kuwalipa asilimia 80 ya bei ya Karafuu katika soko la Dunia, ili kuwatia…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar , wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Afya Zanzibar kwa Kipindi cha  Julai 2018 -Marchi 2019.

DK.SHEIN AMEKUTANA NA WIZARA YA AFYA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza kuwa chotocte kinachoingia nchini kwa ajili ya matumizi ya binaadamu zikiwemo dawa na vyakula ni lazima…

Read More