Mama Mariam Mwinyi ameitaka jamii kuwaangalia kwa jicho la huruma na kuwasaidia watoto yatima wanaoishi na virusi na Ukimwi (VVU)
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mariam Mwinyi ameitaka jamii kuwaangalia kwa jicho la huruma na kuwasaidia watoto yatima wanaoishi na virusi na Ukimwi (VVU)…
Soma Zaidi