Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo ameizindua rasmi nembo ya Sensa ya Watu na Makaazi ya mwaka 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo ameizindua rasmi nembo ya Sensa ya Watu na Makaazi ya mwaka 2022 huku akiitangaza tarehe 23 Agosti 2022 kuwa ndio siku ya kufanya…

Read More

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameongoza hitma ya kumuombea dua Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameongoza hitma ya kumuombea dua Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume, iliyofanyika…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza azma ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) ya kujenga Kampasi ya Chuo hicho hapa Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza azma ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) ya kujenga Kampasi ya Chuo hicho hapa Zanzibar.Rais Dk. Mwinyi…

Read More

Kumkumbuka Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.

UTARATIBU wa kuandaa Kongamano la kumkumbuka Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Hayati Sheikh Abeid Amani Karume ni fursa ya kujifunza historia, hekima na uzalendo…

Read More