Salaam za Pongezi zimeendelea kutolewa
SALAMU za pongezi zimeendelea kutolewa na Viongozi mbali mbali wa ndani na nje ya nchi kufuatia ushindi mkubwa wa Urais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi alioupata Rais Dk. Hussein…
Read MoreSALAMU za pongezi zimeendelea kutolewa na Viongozi mbali mbali wa ndani na nje ya nchi kufuatia ushindi mkubwa wa Urais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi alioupata Rais Dk. Hussein…
Read MoreDk. John Pombe Joseph Magufuli ameapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kipindi cha pili katika Awamu ya Tano ya uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kushinda…
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Dk. Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameutaka uongozi wa Bandari pamoja na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhakikisha kazi za kulitumia ghala jipya la…
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametembelea Bandari ya Malindi Jijini Zanzibar pamoja na eneo la Maruhubi kwa ajili ya kutafuta muwarubaini wa ucheleweleshwaji…
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amewapongeza Wazanzibari kote nchini kwa kujitokeza kwa wingi na kutumia vyema haki yao ya kikatiba ya kushiriki…
Read More