News and Events

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasihi wadhamini na wadau wote walioungamkono maadhimisho ya mwaka mpya wa Kiislam kutochoka kuendeleza juhudi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasihi wadhamini na wadau wote walioungamkono maadhimisho ya mwaka mpya wa Kiislam kutochoka kuendeleza…

Read More

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imeeleza dhamira yake ya kuboresha na kuendeleza huduma za jamii kwa wananchi wake ikiwemo kuimarisha huduma za Afya, Elimu, Maji Safi na Salama na kudumisha usafi

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imeeleza dhamira yake ya kuboresha na kuendeleza huduma za jamii kwa wananchi wake ikiwemo kuimarisha huduma za Afya, Elimu, Maji Safi na Salama na kudumisha…

Read More

Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasihi wadhamini na wadau wote walioungamkono maadhimisho ya mwaka mpya wa Kiislam kutochoka kuendeleza juhudi zao kila mwaka wa maadhimisho hayo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasihi wadhamini na wadau wote walioungamkono maadhimisho ya mwaka mpya wa Kiislam kutochoka kuendeleza…

Read More

MWENYEKITI wa Bodi ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF),Mama Mariam Mwinyi ameiomba Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi, washirikiane na wadau wengine kuendelea kulitangaza zao la mwani

MWENYEKITI wa Bodi ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF), Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mama Mariam Mwinyi ameiomba Wizara ya Uchumi wa Buluu na…

Read More

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, imesema itaendelea kufanya utafiti utakaoonesha njia bora zaidi za uvunaji wa maji ya mvua pamoja na maji kwenye mabwawa

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, imesema itaendelea kufanya utafiti utakaoonesha njia bora zaidi za uvunaji wa maji ya mvua pamoja na maji kwenye mabwawa, ili kutafuta vyanzo vyengine vya maji…

Read More