RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Shirika la Kimataifa la Christian Blind Mission (CBM)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Shirika la Kimataifa la Christian Blind Mission (CBM) ukiongozwa na Mkurugenzi Mkaazi Nchini Tanzania (kulia kwa Rais)Bi.Nesia Mahenge, Mkurugenzi Maendeleo Jumuishi wa (CBM) Ndg.Dominique Schulkopthen na Mkurugenzi Kanda ya Afrika Mashariki na Kusini Afrika Ndg.Albert Kombo, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 26-6-2023.