Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka wanachama wa CCM kuchagua viongozi makini watakaoweza kukivusha Chama hicho katika Uchaguzi mkuu ujao wa 2025.
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka wanachama wa CCM kuchagua viongozi makini…
Read More