Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezungumza na wafadhi wa Ujenzi wa Kituo cha Matibabu ya Moyo Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wafadhili kutoka Uongozi wa Hospitali ya Chuo Kikuu cha Hauklend cha Nchini Norway ukiongozwa na Mfadhili Bw.Trond Mohn (kulia kwa Rais) wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar kuelezea ufadhili wao wa Ujenzi wa Kituo cha Matibabu ya Moyo Zanzibar.