President's Office and Chairman of Revolutionary Council, Zanzibar
President's Office and Chairman of Revolutionary Council, Zanzibar
  • Home
  • President's Office
    • Overview
    • Vision & Mission
    • President
    • Past Presidents
  • Administration
    • Revolutionary Council
    • Office of the President
  • Media
    • News and Events
    • Speeches and Statements
    • Press Releases
    • Photos
    • Videos
    • Videos 2
  • Publications
    • Speeches
    • Action Plans
    • Publications
    • Reports
    • Budgets
  • Blog
  • Contact Us

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Zanzibar inahitaji kuwa na vyuo vikuu zaidi vitakavyosaidia kuiweka Zanzibar katika ramani ya kimataif

  • 18 Feb 2026
  • News and Events
  • 3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Zanzibar inahitaji kuwa na vyuo vikuu zaidi vitakavyosaidia kuiweka Zanzibar katika ramani ya kimataifa Dkt. Mwinyi ameyasema hayo leo, tarehe 18 Februari 2026, alipokutana na wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakiongozwa na Spika wa Bunge hilo, Mhe. Mussa Azan Zungu, waliofika Ikulu, Zanzibar.

Media

  • Rais Dk. Mwinyi ameushukuru Mfuko wa AGA KHAN kwa Ushirikiano wake na Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar, aliyeambatana na
  • Rais Mwinyi amesema Muungano uendelee kuwa chachu ya ukuwaji wa Uchumi.
  • Rais Mwinyi amepongeza wazo la Bunge kujenga Chuo Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Msikiti mpya wa Chachani, uliopo Chake Chake, Mkoa wa Kusini Pemba.
  • Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuimarisha Usafiri wa mizigo Pemba.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza leo tarehe 06 Januari 2026 alipoizindua Ijitimai ya Kimataifa ya kila mwaka inayoandaliwa na Jumuiya ya F
  • Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inatambua na kuthamini michango ya Taasisi za Kidini katika kudumisha Amani.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewaongoza viongozi na wananchi mbalimbali katika maziko ya marehemu Joseph Abdallah Meza. Maziko hayo yamefanyika
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewaongoza viongozi na wananchi mbalimbali katika maziko ya marehemu Joseph Abdallah Meza. 

Subscribe to RSS Feeds

Get all latest content delivered to your email a few times a month.

  • English
  • Swahili
President's Office and Chairman of Revolutionary Council, Zanzibar

Quick Links

  • Overview
  • Vision & Mission
  • President
  • Past Presidents
  • Revolutionary Council
  • Office of the President
  • Government Security Office (GSO)

Categories

  • Blog
  • News and Events
  • Speeches and Statements
  • Press Releases
  • Photos
  • Videos
  • Useful Links

Useful Links

  • First Vice President Office
  • Second Vice President Office
  • Chief Secretary Zanzibar
  • House of Representatives
  • Zanzibar Investment Promotion Authority
  • Ministry of State, President's Office, Finance and Planning
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi

Talk to the President App

© Copyright 2026 - President's Office and Chairman of Revolutionary Council, Zanzibar

  • Home
  • Privacy Policy
  • Feedback
  • E-Office
  • Webmail