RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza wa Mashindano Makuu ya 7 ya kusoma Quran Tajweed Zanziba.r
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza wa Mashindano Makuu ya 7 ya kusoma Quran Tajweed Zanzibar yalioandaliwa na Majlisul Quran Zanzibar, yaliofanyika katika Masjid Noor Muhammad Mombasa kwa Mchina na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kaab.