RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar(SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mwanafunzi Bora wa Cheti Cha Sayansi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar(SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mwanafunzi Bora wa Cheti Cha Sayansi na Komputa Mhitimu Salma Abdi Naim, wakati wa Mahafali ya 17 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) yaliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.