Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiondoa Pazia kuashiria uzinduzi wa boti mpya ya Kilimanjaro 9 (Dragon of the Sea) inayomilikiwa na Kampuni ya Azam Marine
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiondoa Pazia kuashiria uzinduzi wa boti mpya ya Kilimanjaro 9 (Dragon of the Sea) inayomilikiwa na Kampuni ya Azam Marine Ltd, katika hafla iliyofanyika Mtoni Verde, Mkoa wa Mjini Magharibi.