Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akimkabithi zawadi ya mlango wa Zanzibar (Zanzibar door) Waziri wa Hijja na Umrah wa Saudi Arabia, Mhe. Tawfiq bin Fawzan A
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akimkabithi zawadi ya mlango wa zanzibar (Zanzibar door) Waziri wa Hijja na Umrah wa Saudi Arabia, Mhe. Tawfiq bin Fawzan Al-Rabiah, aliyefika Ikulu zanzibar kuonana naye akiwa ameambatana na Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania, Mhe. Yahya bin Ahmed Okeish.