Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi akiondoa kipazia kama ishara ya ufunguzi wa nyumba za makaazi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Kitogani, Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi akibonyeza Kitufe kama ishara ya ufunguzi wa nyumba za makaazi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Kitogani, Mkoa wa Kusini Unguja.