Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiondoa Pazia kuashiria ufunguzi rasmi wa Barabara ya Kitope–Ndagaa–Kidimni na kusisitiza kuwa ujenzi wa miundombi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiondoa Pazia kuashiria ufunguzi rasmi wa Barabara ya Kitope–Ndagaa–Kidimni na kusisitiza kuwa ujenzi wa miundombinu ya barabara ni kichocheo kikubwa cha maendeleo ya kiuchumi nchini.