Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi leo tarehe 23 Januari 2026, akisalimiana na Waumini wa Dini ya Kiislamu baada ya kumalizika Sala ya Ijumaa iliyofanyika k
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi leo tarehe 23 Januari 2026, akisalimiana na Waumini wa Dini ya Kiislamu baada ya kumalizika Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti wa Ijumaa wa Mfereji wa Wima, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja .